Profile Picturepastory joseph
$15

Cosmos Ecosystem (Swap Coins)

0 ratings
Add to cart

Cosmos Ecosystem (Swap Coins)

0 ratings

Hizi video zimeelezea namna ya kununua usdt kutoka binnace na kuzipeleka kwenye Keplr wallet kwa ajili ya staking ama ku swap coins zinazotumia Atom Sdk or App chain. Video ni kwa ajili ya watumiaji wapya kwasababu nimeanzia mwanzo mpaka hatua ya mwisho kabisa.

Add to cart
Watch link provided after purchase

utaweza kujifunza namna ya kununua coins kwa kuanza kutumia P2P, Pia utaweza kutoa coin zako kutoka exchange kwenda kwenye wallet, na final utaweza kucheza na cosmos ecosystem ambayo sasahivi ipo hottest in town. ENJOY THE OG CONTENTS FROM PASTATRADE101

Copy product URL